Meneja Masoko wa Maisha Basement, Gilla, akiwakaribisha Mfanyakazi wa Global, Nicolaus Trac (kushoto) akiwa na Video Queen wa Bongo, Kidoa Salum 'Akadumba', usiku wa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Nicolaus Trac uliofanyika usiku wa kuamkia leo Maisha Basement jijini Dar.
Kidoa akikata keki na Nicolaus.
Msanii wa Filamu Bongo, Salima Jabu ' Nisha' (katikati) akiongea jambo, akiwa na DJ Choka (kulia) na Kidoa Salum (kushoto).
Kidoa akisalimiana na Nisha.
Nicolaus Trac akimlisha keki Nisha.
Dj Choka akilishwa keki.
Meneja wa Burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu 'HK' akimulisha keki Birthday Boy, Nicolaus Trac.
Nicolaus akimlisha keki Clarence Mulisa.
Msanii wa nyimbo za utamaduni Bongo, Dati akilishwa keki.
Meneja Masoko, Gilla 'The Boss' akilishwa keki.
Meneja Masoko wa Global Publishers, Innocent Mafuru, akilishwa keki.
Kidoa Salum akilishwa keki na shabiki wake.
Kidoa (kulia) akimlisha keki shabiki yake.
Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki
Hemed Kavu 'HK' (kushoto) akimtambulisha Nisha kwa mashabiki wake (hawapo pichani) kabla ya kutambulisha muvi yake mpya ya 'Kiboko Kabisa' ndani ya Maisha Club.
Nisha akionyesha mbwembwe zake kwa kucheza kwa madoido.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)