Pages

Wafanyakazi TBL Group wapatiwa elimu ya jinsia

 Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni Inspekta Prisca Komba akiwafundisha wafanyakazi wa kampuni ya DarBrew masuala yanayohusiana na jinsia.Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia kiwanda cha Dar es Salaam wakipata mawaidha kutoka kwa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni Inspekta Prisca Komba wakati wa mafunzo ya jinsia yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
 Afisa Mwandamizi wa TBL, Eliakim Anania akijadiliana jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni Inspekta Prisca Komba wakati wa mafunzo ya jinsia yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
Mfanyakazi wa kampuni ya Konyagi,Semphroza mhanzi akijadiliana jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni Inspekta Prisca Komba wakati wa mafunzo ya jinsia yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)