Pages

TBL GROUP WATOA MAFUNZO MAALUM KWA MAOFISA WA JESHI POLISI NCHINI


Maofisa wa polisi kutoka kitengo cha  usalama barabarani wakibadilishana mawazo na mtaalamu wa matairi kutoka TBL wakati mafunzo maalumu kwa maofisa hao yaliyofanyika  jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Mafunzo wa TBL Group, Gaspar Tesha akitoa mada wakati wa mafunzo hayo.
Katika mafunzo hayo yatakayofanyika mikoa mbalimbali polisi pia walishiriki zoezi la kufundisha zoezi la ukaguzi wa magari kama wanavyoonekana wakiangalia mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo akikagua gari.
Afisa wa polisi Kikosi Usalama Barabarani Smax Ibrahim akitoa mada juu ya usalama wakati wa mafunzo hayo  yaliyofanyika  jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki
Mkurugenzi wa Mafunzo wa TBL Group, Gaspar Tesha akitoa mada wakati wa mafunzo hayo
Mtaalamu wa Matairi kutoka Kampuni ya TBL Group, Peter Muthee (wa pili kulia),  akiwalezea Maofisa  wakaguzi wa Jeshi la Polisi  Kikosi Usalama Barabarani jinsi ya kutambua matairi yaliyo na athari za kiusalama wakati wa mafunzo maalumu kwa maofisa hao yaliyofanyika  jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)