Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti ya kijivu) akimpongeza mwenyekiti mpya wa FK aliyeteuliwa hivi karibuni Bw. Ahmed Michuzi ambaye pia ni Mmiliki wa Blogu ya Jiachie na mkurugenzi mwandamzi wa Michuzi Media alikuwa mwanachama mwaminifu wa FK, tukio hilo limetokea leo wakati alipokutana naye kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam, Cheo hicho kilikuwa kikishikiliwa na Kamanda Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)