All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
Christian Bella Aweka Rekodi Mpya Dar Live
Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.Malaika Band wakifanya yao.Mashabiki wakiserebuka...wakichukua matukio muhimu ya shoo hiyo kwa simu za mkononiNi hatariBella akiwaongoza Malaika Band kutumbuiza ukumbini hapo ...shoo si ikanoga sasaBella akitamba jukwaani Mashabiki wakinogewa na shoo ya Malaika Band Bella na jukwaa, Bella na mashabiki Kama kawaida yao Malaika Band wakikinukisha jukwaaniMashabiki wakifuatilia shoo hiyoShabiki akipanda jukwaani kucheza na Bella Dada huyu akikata mauno wakati wa shoo hiyo Shabiki na Bella jukwaani Bella akiendelea kuwasha motoShabiki akimzawadia Bella Zawadi zikimiminikaShoo ikibamba Shangwe za mwaka mpya Mashabiki wakipanda jukwaani Shoo ikinogaBella akicheza na mashabiki wake Shoo ikinoga Bella na mashabiki jukwaaniMashabiki wakizidi kupagwa. PICHA NA MUSA MATEJA/GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)