Chibuku waweka mikakati ya kushirikiana na wadau wake kujiimarisha kibiashara
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni
ya Chibuku kilichopo chini ya TBL Group, David Cason akiwahutubia wafanyakazi wa kampuni hiyo
wakati wa hafla ya kuweka mikakati ya kazi katika mwaka mpya iliyofanyika
kiwandani hapo jijini Dar es Salaam ,kulia ni Menaja Raslimali watu wa kampuni
hiyo Bw.Phinus Mashauri
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni
ya Chibuku kilichopo chini ya TBL Group, David Cason akijumuika kucheza na wafanyakazi wa kampuni
hiyo wakati wa hafla ya kuweka mikakati ya kazi katika mwaka mpya iliyofanyika kiwandani
hapo jijini Dar es Salaam ,kulia ni Menaja Raslimali watu wa kampuni hiyo
Bw.Phinus Mashauri
Wafanyakazi wakiserebuka kwa furaha huku Wasanii mbalimbali walikuwepo kutoa burudani
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)