Pages

Wafanyakazi wa Zanlink Zanzibar Wajumuika katika Usafi Eneo lao la Kazi.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika sehemu yao ya Kazi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru.  
Mfanyakazi wa Zanlink Zanzibar akishiriki katika Zoezi la Usafi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara imeadhimishwa Kitaifa kwa Usafi wa mazingira. Imetayarishwa na Othman Mapara.Blogspot  Zanzinews.com 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)