Pages

Wafanyakazi TBL washiriki usafi wa mazingira Dar,Arusha na Mwanza

 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Uhuru ambapo kwa mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli ameitangaza kuwa siku ya usafi kwa nchi nzima.
Wafanyakazi wa kiwanda Bia tawi la Arusha wakifanya usafi eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini Arusha  kuitikia wito wa Rais Dk John Magufuli kufanya usafi wakati wa maadhimisho ya ya Uhuru wa Tanganyika.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)