Kuanzia wiki iliyopita zilianza kusambaa picha za gazeti lenye maandishi ya Kichina ambalo lilikua na picha ya Rais mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, nikaamua kuchukua time kumtafuta Mchina ili atupe tafsiri wameandika nini kuhusu Dr. Magufuli, bonyeza play kwenye hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)