Pages

MASHINDANO BAISKELI KILOMITA 115 YAKUZA VIPAJI VYA VIJANA

Washindi wa kwanza wa mashindano.ya baiskeli, ya  Rift Valley Odyssey  ya liyofanyika  jijini arusha  DEC 6 Mwaka huu Sophia Husseni wa kwanza
(kulia) na Sophia Adson wa (pili) kutoka kulia wakiwa na Mkurugenzi wa 6degreesSimone Paine wa pili kutoka kulia yaliyo fanyika Arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115. Masindano ambayo yanawapa ushindi timu ya Warriors ambao wametumia masaa matano na dakika 28
 Mshindi wakwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli  ya   Rift Valley Odyssey  Sophia Husseni ya liyofanyika  jijini arusha  DEC  Jijini Arusha
Washiriki wa mashindano ya baiskeliya  Rift Valley Odyssey  yaliyofanyika
jijini arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai
kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115
 Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine akizungumza na washiriki wa shindano hilo.
Mshindi wakwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli  ya   Rift Valley Odyssey  Sophia Husseni

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)