Rais Dk. Magufuli Amemteua Mbunge wa Ruangwa Mhe. Kassim Majaliwa Kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mara baada ya Jina lake kutajwa Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mh Job Ndugai amehairisha bunge kwa muda ili watakaporejea waweze kutimiza haki zao za kikatiba kwa kumpitisha au kumkataa aliyeteuliwa Kuwa Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)