Pages

Kilichojili Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kuhusu Kuaga Mwili wa Marehemu Mawazo

Jana Novemba 26,2015 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ilitengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani hapa la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO-HABARI JUU YA HABARI HIYO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)