Pages

BOMOA BOMOA YA MANISPAA YAENDELEA MBEZI BEACH (BLOCK K) JIJINI DAR

  Nyumba nyingine eneo hilo nayo ikisubili kubomolewa na manispaa ya Kinondoni. 

 Ubomoaji ukiendelea.  









 Wazee wa kazi wakiwa katika geti la nyumba inayotakiwa kubomolewa  maeneo ya mtaa wa  Libermann Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo.
 Wakazi wa nyumba nyeupe inayobomolewa wakitoka nje ya nyumba baada ya kuanza kubomolewa na manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo
Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)