Pages

WANAFUNZI WA GREEN VIEW ENGLISH MEDIUM YA JIJINI MWANZA WAFURAHIA MICHEZO ILIYOPO MAMIZ GRAND RESORT.

Hakika ilikuwa ni Furasa isiyo na Kifani kwa Wanafunzi wa Awali kutoka Shule ya Msingi Green View English Medium ya Jijini Mwanza baada ya kufika katika mandhari iliyopo ndani ya Mamiz Grand Resort Mkolani Jijini Mwanza kwa ajili ya ziara yao ya Kimasomo (Study Tour) siku ya juzi Octoba 16,2015.
Wanafunzi hao walifurahia michezo ya aina mbalimbali inayopatikana Mamiz Grand Resort kama ambavyo Kamera ya BMG (Binagi Media Group) ilivyonasa matukio ya hapa na pale. Hakika Watoto sasa wamepata pahala pa kufurahia utoto wao ndani ya Jiji la Mwanza.
Mmoja wa Wanafunzi wa Green View English medium akifurahia Michezo ya Chopa ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza 
Mmoja wa Wanafunzi wa Green View English Medium akifurahia Michezo ya Chopa ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza 

Wanafunzi wa Wanafunzi wa Green View English Medium wakifurahia Michezo mbalimbali ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza 

Wanafunzi wa Wanafunzi wa Green View English Medium wakifurahia Mchezo wa bembea ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza

Wanafunzi wa Wanafunzi wa Green View English Medium wakifurahia Mchezo mbalimbali ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza

Mamiz Grand Resort inawajali watoto
Kwa walio na Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea wanaruhusiwa kupoza koo maeneo haya
Vitu vya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza.
Bonyeza HAPA Kuona zaidi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)