Kundi la wasanii wanaomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli jana niliingia mkoani Shinyanga kuhamasisha wananchi umuhimu wa kusikiliza sera kwa kina na kupima ukweli katika utekelezaji wake.
Kundi hilo linaloundwa na muunganiko wa wasanii wa folamu na muziki, limetomiza siku ya 15 ya ziara zao za Kijiji kwa Kijiji ambapo lengo kuu ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa utekelezwaji wake bila ya kuwa na mihemko ya kidemokrasia.
PICHANIO JUU: Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima akiongea na umati wa watu uliojitokeza kulisikiliza kundi la Nimestuka, Shinyanga mjini jana |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)