Pages

News Alert: Mchungaji Mtikila afariki Dunia kwa ajali ya gari Msolwa Chalinze asubuhi Hii

Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa Chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia mapema leo Asubuhi katika kijiji cha Msolwa,Chalinze mkoani Pwani mara baada ya kupata Ajali ya gari huku watu watatu wakijeruhiwa katika Ajali hiyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha Ajali hiyo

Tutaendelea kuwajuza kadri taarifa tunavyozipata.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amen

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)