Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna hawakuumia lakini tutaendelea kuwajuza kadri habari inavyotufikia.Picha na Mdau Massawe
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)