Pages

Lowasa aendelea kusababisha mafuriko kote anapopita, safari ni Musoma

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma  Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa  Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Musoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,  Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia 
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Musoma 
katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa 
Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.











































No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)