Pages

Je wajua kuhusiana na Ubongo wako...Soma hapa

Endelea kuongeza ujuzi na ufahamu kwa kusoma je wajua segment ambayo inakupa uelewa zaidi juu ya maswala mbalimbali ndani ya Dunia kupitia Mtandao wako namba moja  wa Lukaza Blog.

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na neno UBONGO WA BINADAMU likiwa na maana ya Human Brain?

Ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa ubongo hutumia asilimia 20 hadi 25 ya hewa ya oxygen tunayovuta ?  Basi kama hufahamu ndio hivyo Ubongo hutumia asilimia 20 hadi 25 ya hewa ya Oxygen tunayovuta.

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)