Pages

Flash News: Gari dogo laangukiwa na kontena Vetenali Temeke jioni hii

 Gari dogo aina ya Toyota Corola lenye namba za usajili T 444 CST likiwa limeangukiwa na lori na kupelekea kifo cha dereva wa gari dogo huku abiria aliyekuwemo kwenye gari dogo hilo inasemekana ni mzima ila amekimbia kutokana na kiwewe
 Dereva wa gari dogo aina ya Corola yenye namba T 444 CST akiwa amebanwa na gari lake mara baada ya kuangukiwa na lori kupelekea kifo cha dereva huyo papo hapo katika eneo la Veternali Temeke muda mfupi uliopita. 
 Mmoja wa raia mwema akijitahidi kutoa msaada wa kuutoa mwili wa marehemu ambae jina lake halikuweza kupatikana mapema ambae pia alikuwa ni dereva wa gari hilo dogo lililoangukiwa na lori katika eneo la vetenari Temeke jijini Dar muda mfupi uliopita.
 Lori likiwa limeanguka chini na kuangulia gari dogo hilo lililopelekea kifo cha dereva wa gari dogo
Gari dogo likiwa limeangukiwa na lori

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)