Pages

KIOTA KIPYA CHA BIASHARA MTANDAONI - MAVAZI STORE

 Kampuni ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz)  ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni. 
Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador  wa Mavazi Store bwana  Steve Seducter   mfumo huu wa kisasa umelenga  Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa 
mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja 
kwa kuunganisha  maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya www.mavazi.co.tz  .  Mtu 
yeyote mwenye simu ya kiganjani au kupitia katika kompyuta yake ataweza 
kutembelea Tovuti hii na kuona biashara zilizosajiliwa pamoja na Bidhaaa 
wanazouza. Hii itamuwezesha kuchagua  na 
kuwasiliana na duka husika Moja kwa moja alipo (Delivery),
Muonekano wa Tovuti ya MavaziStore  (www.mavazi.co.tzPamoja na mengine Mtafiti wa Masoko na  ukuaji wa biashara Bwana Fred Crich   alifafanua kwamba  kwa Sasa ConnectMoja Technologies imejikita kusaidia ukuaji wa biashara mbalimbali za  kitanzania, na kuhakikisha kwamba Maendeleo yanayotokea katika Dunia hasa kupitia teknolojia yanaipa Manufaa pia jamii yetu ya Kitanzania. Crich


Ameongeza kwamba  Kwa Kampuni inatoa Ofa kwa wamiliki wa maduka kutangaza katika Tovuti hii Bure kwa Mwezi Mmoja  ili kuwafikia zaidi wateja walio wengi. Ili Kutangaza  Nasi Tembelea http://mavazi.co.tz/advertise/  au Wasiliana nasi kwa Simu   0777880007  au 0714215 600  : 



Office:  Oysterbay – Dar free
Market Mall (GL14)


Imetolewa na  Kitengo Cha Masoko – ConnectMoja Technologies
Limited

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)