Pages

Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Lowassa Leo Jijini Mbeya..

 
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa  akiongea na wananchi wa mkoani Mbeya leo alipokuwa ajitambulishwa kama mgombea wa UKAWA.

 
Umati wa watu wakiwemo wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA ukiwa umefurika 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)