Umati wa wakazi wa jiji la Mwanza wakiwa katika mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya Mwamvuli wa Ukawa Mh Edward Lowassa uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana.Nimekuwekea video fupi kuona jaliyojili jana Katika Mkutano huo tokea Mabomu yalipoanza kupigwa
Hiyo ndo demokrasia ya kweli
ReplyDelete