Pages

TISA WAFARIKI KWA MOTO BUGURUNI

11947472_1081693931848512_1592356212416966947_n
Wananchi wakiwa eneo la tukio Buguruni Malapa  Jijini Dar.
10984474_1301905196490562_5658746228997238516_n 11220139_1301905206490561_7550675739083370211_n 11891241_1301905193157229_879188964784182887_n 11949362_1301905209823894_7979857288578398561_n
Muonekano wa nyumba hiyo baada kuteketea na moto Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala Jijini Dar.
NYUMBA moja iliyoko maeneo ya Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto na kusababisha vifo vya watu tisa. Mashuhuda wa Tukio hilo wamesema chanzo cha moto huo hakijajulikana, na mpaka sasa tayari miili mitano imeshatolewa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)