Pages

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC LASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

ni7
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja kushoto pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakiwa wakiwa na baadhi ya wateja waliojipatia bima ya maisha ya elimu ya katika banda lao kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Lindi shirika hilo linashiriki katika maonyesho hayo.
ni5
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja wa tatu kutoka kulia pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakionekana kufurahia jambo pamoja na wateja waliotembelea na kujiunga na bima ya maisha ya elimu katika banda lao
ni2
Muonekana wa banda la Shirika la Bima ya taifa NIC linavyoonekana shirika hilo linashiriki maonyesho ya nanenane yanayoendelea mkoani Lindi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)