Pages

Nyumba Inapangishwa Ipo Kijitonyama Kwa Ali Maua....Soma details hapo

Nyumba inapangishwa ipo Kijitonyama kwa Ali maua

Na ina sifa zifuatazo

Vyumba vinne, master 2, sebule, dining, jiko na store yake, public toilet mbili moja ndani na nyingine iko nje kwa nyuma.
Parking ya Kutosha 
Maji na Umeme Upo 

Kwa mawasiliano wasiliana kwa Namba hii 0788 711 515

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)