Pages

News Alert: Hali iliyo sasa Buguruni, Maelfu wajitokeza Kumsindikiza Mh Lowassa Kuchukua fomu ya kuwania urais


 Baadhi ya wapenzi na wanachama wa vyama vinavyounda ukawa wakiwa kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Cuf Buguruni Jijini Dar Es Salaam mapema leo wakijiandaa kumsindikiza mgombea urais wa Chadema chini ya Ukawa Mh Edward Lowassa kwenda kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais katika UChaguzi Mkuu ujao mwezi octoba
 Baadhi ya wapenzi na wanachama wa vyama vinavyoounda Ukawa wakiwa sheli ya Buguruni wakijaza Mafuta Kwenye pikipiki zao kabla ya kwenda kwenye ofisi za Cuf ambapo maandamano ya Kumsindikiza Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya Ukawa Mh Lowassa Edward kwenda kuchukua fomu ya kuwania Urais.
 Heka heka zikiendelea
Vijana wakijiandaa kwaajili ya kumsindikiza Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya Ukawa Mh Edward Lowassa kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais katika ofisi za tume ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)