Pages

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BONNE MWAITEGE AZINDUA ALBAMU ZAKE TATU KWA MPIGO JIJINI DAR

????????????????????????????????????
Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT pamoja na maaskofu wenzake wakiombea albam hizo kabla ya kuzizindua rasmi kushoto ni Alex Msama Mkurugenzi wa  Kamuni ya Msama Promotion.
????????????????????????????????????
Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT akizindua rasmi albam hizo kushoto Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama.
????????????????????????????????????
Maaskofu na wachungaji wakiwa wameshikilia albam zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion.
????????????????????????????????????
Baadhi ya maaskofu na wachungaji waliohudhuria katika uzinduzi huo wakifuatilia wakati mwimbaji huyo akiimba jukwaani.
????????????????????????????????????
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili Bonny Mwaitege akiimba katika uzinduzi wa  albam zake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana,  uzinduzi ambao ulihudhuriwa na maelefu ya wapenzi wa muziki wa ijini  akishirikiana na waimbaji mbalimbali wa muziki huo ikiwa ni pamoja na  baadhi ya kwaya kutoka katika baadhi ya makanisa ya jijini Dar es
salaam, Bonny Mwaitege alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa ikwango
kikubwa huku akiwa amevalia vazi la Kinigeria wakati akiwa jukwaani,
wapenzi wa muziki waliohudhuria katika uzinduzi huo walijikuta kila
mmoja akijitikisa pale alipo kutokana na kuvutiwa na nyimbo za mwimbaji
huyo kutoka mkoani mbeya
????????????????????????????????????
Baadhi ya wapenzi wa muziki wa injili wakiwa katika uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)