Pages

MTOTO WA MIAKA 9 AOZESHWA NA BABA YAKE KWA MWANAUME MWENYE MIAKA 60

  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)
  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi
  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)  akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji  cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya  Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi inavyo daiwa  alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng'ombe Mmoja na debe 2 za pombe kushoto ni Mwenyekiti wa Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya Monduli Mtandao wa Wasaidizi wa Kisheria Monduli (MWAWAKIMO) Ibrahim Melita Laizer (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)