Magdalena Sakaya ameulizwa Prof. Lipumba alitaka kuzungumza nini na akajibu wao hawajui kitu alichotaka kuwaambia wananchi Sababu kubwa ya kusitishwa mkutano, Magdalena amesema Wazee wa CUF wametaka kujua kwanza ni kitu gani Mwenyekiti anataka kuongea Wananchi nje ya ofisi za CUF wanashangilia wakiimba kwa kusema 'Si mnaona, muziki wa Lipumba kuuzima hamuwezi'
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)