Pages

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASA ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO KIA

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Philemoni Ndesamburo akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ,Godluck Ole Medeye walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)kwa ajili ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA na Chadema,Edward Ngoyai ,Lowasa.

Mwenyekii wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na James Lembeli walipokutana uwanja wa Ndege wa KIA.
Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasni akizungumza jambo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki,Godluk Ole Medeye.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi,Godluck Ole Medeye akiteta jambo na Henry Kilewo mtia nia waubunge jimbo la Mwanga.
Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi,Laurance Masha akisalimiana na Katibu wa  Chadema kanda ya Kasakazini,Aman Golugwa.
Masha akisalimana na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema,
Mzee Ndesamburo akiwaongoza makada wengine wa chama hicho kwa ajili ya mapokezi ya mgombea Urais kupitia UKAWA alipowasili uwanja wa ndege wa KIA.
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA james Mbatia akishuka katika ndege maalumu iliyobeba viongozi wa UKAWA pamoja na mgombea Urais kupitia umoja huo Edward Lowasa.
Mgombea Urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi ,UKAWA, na Chadema,Edward Lowasa akishuka kenye ndege ya kukodi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa KIA.
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA na Chadema taifa,Freeman Mbowe akisalimiana na baadhi ya viongozi waliofika kwa ajili ya mapkezi ya mgombea Urais.
Mgombea Urais ,kupia UKAWA,Lowasa akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema.
Mgombea Urais ,akipokea maua kutoka kwa watoto waliofika uwanjani hapo kwa ajili ya mapokezi.
Mgombea Urais ,akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Rombo,Joseph Selasini.
Mgombea Urais akisalimiana na msadizi wa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia,Bw,Hamis Athuman.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbatia akisalimiana na baadhi ya viongozi.
Mgombea Urais,Edward Lowasa akiongozana na iongozi wengine kutoka uwanja wa ndege wa KIA. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)