Pages

Live kutoka Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) inayofanyika makumbusho ya taifa

Majaji wa Shindano la TMT wakifuatilia matukio yanayoendelea katika fainali ya shindano la TMT 2015 linaloendelea kufanyika katika ukumbi wa Makumbusho huku ikirushwa live kupitia Live na Kituo cha ITV
 Baadhi ya wahudhuriaji wakifuatilia matukio live
 Jaji Rich akihojiwa kabla zoezi halijaanza
 Mshindi wa TMT msimu wa Kwanza Mwanaafa Mwizago akihojiwa 
 Mboto kazini
 Mwakilishi wa Basata
 Endelea kukaa hapa kwa picha Zaidi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)