Pages

OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya
Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19,Kitanda namba 28 kwa tatizo la uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake kutoka nje.

Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya
Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.

Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali, tunaomba misaada yenu kupitia kwa  kaka wa Abel  Bw.Christopher Machanga kwa namba

Tigo  0655 54 56 67
Airtell    0784 54 56 67
Voda         0755 54 56 67

SHIME WATANZANIA TUJITOE KWA MOYO KUOKOA MAISHA YA MWENZETU NA KUPUNGUZIA MATESO MAKALI ANAYOKABILIANA NAYO KWA SASA.  TUNATANGULIZA SHUKRANI.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)