Pages

News Alert: Lembeli Asajiliwa Chadema

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli.
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)