Taarifa zilizotufikia hivi sasa mara baada ya kusikika katika kituo cha redio cha Clouds Fm inasema kuwa kati ya wanachama watano waliofanikiwa kuingia katika hatua ya tano bora ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya ccm katika uchaguzi mkuu 2015 ni watatu ambao wamefanikiwa Kuingia Katika Hatua hiyo
Ambao inasemekana wamefanikiwa kuingia katika hatua hiyo ni
John Pombe Magufuli
Asha Rose Migiro
Amina Ally
Endelea kuwa nasi hapa hapa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)