Pages

Kongamano la PENUEL 2015 lilivyofana

PENUEL Maana yake mahala pa Kukutana na Mungu uso kwa uso.(Udhihilisho wa Utukufu wa Mungu) Mwanzo 32:22-30,PENUEL 2015 nikusanyiko la mafundisho ya Neno la Mungu likiwa limelenga ukutane na Mungu kupitia haja ya moyo wako katika kila kona ya maisha yako,PEENUEL 2015 likijumuisha watumishi wa Mungu waliotoka katika nchi mbalimbali za Afrika  kwa mwaka huu watumishi walitoka Afrika Kusini,DRC,Kenya na Tanzania.


Apostle Onesmo Ndegi na Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre ndiye mwandaaji wa Kusanyiko hilo ambapo hapo mwanzo miaka ya nyuma lilikuwa likifanyika ila likijulikana kwa majina tofauti tofauti,lakini kwa mwaka huu 2015 kundelea mbele litajulikana kama PENUEL kisha mwaka husika wa kusanyiko hilo.


Watumishi waliohudumu katika PENUEL 2015 ni  Rev. Dr. Muteba Peter kutoka Johannesburg Afrika Kusini ambaye ni Kiongozi wa Breakthrough Ministry Conference (BMC) pia Mchungaji Kiongozi wa Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa,Apostle Aaron Timothee Tshimanga kutoka Lubumbashi DRC,Prof. Dr. Zacharie Mayamba Kabengele from Lubumbashi DRC,Bishop Olam Mustapha kutoka Gloryland International Church Arusha Tanzania,Bishop Tengu Yoka kutoka Nairobi Kenya na Pastor Moses Ilunga from Nairobi.


Kusanyiko hilo PENUEL 2015 limefanyika kwa muda wa wiki moja kwa mafunindisho ya Neno la Mungu kuanzia asubuhi mpaka jioni,watu walipata kujifunza na kujua ahadi za Mungu katika Maisha yao,Pia maombezi kwa wenye shida na matatizo mbalimbali yalifanyika siku ya mwisho wa Kongamano hilo.




Mwenyeji wa PENUEL 2015 Apostle Onesmo Ndegi na Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre Kawe
Rev. Dr. Muteba Peter ambaye ni kiongozi wa Breakthrough Ministry
Conference (BMC) na Mchungaji Kiongozi wa Yahweh Shammah Assembly huko
Johannesburg South Africa mmoja katika wanenaji wa PENUEL 2015 
Bishop Olam Mustapha
kutoka Gloryland International Church  Arusha Tanzania
Bishop Tengu Yoka kutoka huduma ya Resurrection Temple Nairobi Kenya 
Apostle Aaron
Timothee Tshimanga kutoka Lubumbashi DRC
Pastor Moses Ilunga kutoka Resurrection Temple Nairobi Kenya 
Prof. Dr. Zacharie
Mayamba Kabengele from Lubumbashi DRC 
 Apostle Onesmo Ndegi akizungumza katika Mwenyeji wa PENUEL 2015




































Joshua Mlelwa alikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015 
Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 wakiwa na wake zao katika picha ya pamoja
Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 
Wake wa Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 


Living Waters wenyeji wakiongoza sifa katika PENUEL 2015
Living Waters wenyeji wakiongoza sifa katika PENUEL 2015


Waumini wakicheza na Kuimba mbele za Bwana
John Mmbaga katika Drums
Barikeyz Mmbaga katika Piano


Watoto wakionesha ujuzi wao katika kupiga guitar
Pendo Mwamlenga wa Living Waters akiongoza sifa
Rodney wa Living Waters akiongoza sifa
Living Waters akiongoza sifa na kuabudu
wakicheza mbele za Bwana
wakicheza mbele za Bwana
wakicheza mbele za Bwana




Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini
Washirika wa Prof. Dr. Zacharie
Mayamba Kabengele kutoka Lubumbashi walioambatana nae kuja katika PENUEL 2015
 Washirika wa Kanisa la Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa walioongozana na Mchungaji wao  Rev. Dr. Muteba Peter katika PENUEL 2015
Baadhi ya wageni kutoka Lubumbashi waliokuja kuhudhulia PENUEL 2015








GUG Dancers
Paul Clement alikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015


















The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015










Mombezi kwa wenye matatizo mbalimbali















No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)