Pages

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM


Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam 
jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, 
jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.

 Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)  akifungua   Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali ambao walikunywa na kucheza mpaka majogoo.Hiyo ndiyo habari ya Mujini. 
Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)huku meneja wake ni Nick Rawlings(Mzungu anayefungua Champaign).
 Sehemu ya Counta ya kiota hicho cha Jozi.
Wadau wakipiga picha kabla ya kuzama ndani kwenye kiota cha maraha.

 DJ mkali anaeporomosha muzic wa hatari 
 Wadau kutoka Kampuni ya Executive Solution ya jijini Dar es salaam ambao ndio walikuwa waratibu wakuu wa uzinduzi huo wakishow love.
 Ilikuwa ni hatari kuyarudi magoma mwanzo mwisho. Hakuna kulala wala kuchoka ndani ya Jozi Lounge

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)