Pages

KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM, ABILLAHI MIHELLA AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA MABALOZI WA MASHINA YA KATA YA VITUKA JIMBO LA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akizungumza na mabalozi  wa mashina ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  Kata ya Vituka Jimbo lake, ambapo mgeni Rasmi wa semina ya mabalozi hao alikuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam  Abillahi Mihella.

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally Kamtande, akitowa mada
mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu (kushoto) akizikiliza kwa makini wakati Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally Kamtande alipokuwa akitoa mada, kuanzia kulia ni Katibu wa CCM Jimbo la Temeke, Kassim Kiami na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Vituka Ahmad Mnamalla
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduz (CCM) Kata ya Kibondemaji  Mbagala, Mustafa Hakika   akitoa mada kwa Mabalozi hao jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abba Mtemvu akizungumza na Mabalozi hao Dar es Salla

Mabalozoi hao wakiwa katika umakini mkubwa

Mabalozi
Mabalozi wakipiga mako baada ya Mbunge wa Jimbo hilo alipokuwa azungumza katika uzinduzi huo
Baadhi ya mabalozi
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Vituka Ahmad Mnamalla (kulia) akizungumza na mabalozi hao, kuanzia kushoti ni Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally Kamtande, Diwani Kata ya Vituka Keneth Makinda na Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa VijanaMkoa wa Dar es Salaa Abbas Mtemvu akiwaonyesha  moja ya bendela hizo na kugawiwa  kwa mabalozi wote wa Jimbo lake
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto) akimkabidhi bendera ya Chama hicho Mjumbe wa Shina no 21 Kipera Voda Alphonce Muna
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto) akimkabidhi bendera ya Chama hicho  Mwenyekiti na  Mjumbe wa Shina no, 5 Kipera Voda Mohamedi Namsa,

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na mmoja wa mabalozi hao walipokuwa wakikabidhiwa bendera ya Chama hicho
Waratibu wa semina ya  mabalozi hao wakihakikisha mambo yanakwenda kama yalivyo pangwa. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)