Pages

Bulaya na Lembeli watua rasmi Chadema, Watambulisha rasmi Leo Jijini Mwanza

Ester Bulaya na James Lembeli kwenye Mkutano wa Chadema hii leo jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewakabidhi rasmi kadi za uanachama, aliyekuwa Mbunge wa Kahama, Mh. James Daudi Lembeli na aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester Amos Bulaya kwenye Mkutano wa chama hicho unaoendelea mpaka sasa jijini Mwanza.
GPL 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)