Pages

PETR CECH ASAJILIWA ARSENAL KWA PAUNI 11

Petr Cech akionyesha jezi ya Arsenal baada  ya uhamisho wa pauni 11 na mshahara wake unatajwa kuwa ni pauni 100,000 kwa wiki.
Akiwa katika mapozi.
Petr Cech akifanya mahojiano na wana habari.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)