Pages

OBITUARY: Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugene Mwaiposa afariki dunia

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Eugene Mwaiposa afariki dunia leo majira ya saa nne asubuhi mjini Dodoma.

Haijafahamika vema kama alikuwa anaumwa nini, lakini taarifa za awali zinasema, Amefia rock hoteli jirani na kituo cha mafuta cha shabiby. Alilala vema hakuamka wahudumu wakaita polisi wakavunja mlango ndo kukuta kishatangulia mbele ya haki.
R.I.P Eugene

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)