Msanii wa mitindo JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA amefanikiwa kupata nafasi ya kushiriki katika maonyeshow makubwa ya mitindo yanayoitwa SLUM FASHION AFRICA - KENYA yaliyoandaliwa na kampun ya FASHION TORCH TV SHOW ya nchini kenya, imefahamika kwamb ahuyu ndio mshiriki pekee anaeiwakilisha tanzania , washiriki wengine katika show hio ni kutoka botswana, uganda na angola na kenya , show hio itakuwa tarehe 4july @moi girls - pools arena.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)