Pages

TANZIA: MSIBA UK



 Nasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu aitwaye
Gertrude Matesh Hodgson. Ambaye alikuwa anakaa katika anuani 37 Cromer 
Street, Clifton,  York YO30 6DQ 

Marehemu amehifadhiwa katika hospitali ya  Cottingham, huko YORK.

Ameacha binti mmoja ambae anasoma chuo kikuu hapa UK.

Anategemea kuzikwa hapa hapa UK.

Msaada wa Ushauri na hali unahitajika sana.

Mawasiliano:-

Dada Kissa +447510145626

Mwanamisi 07448755475

Asante sana Mungu na awabariki nyinyi nyote.

Kwa niaba ya ndugu zetu wafiwa  naomba kuwasilisha kwenu account namba kwa msaada wenu watanzania wa UK

Account no:39860655
Sort Code: 56-00-70
Natwest Bank.
Name: Jacqueline E. Josephat

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)