Pages

Tamko la Gavana wa Tanzania na Katibu mkuu wizara ya fedha katika mkutano huko Abidjan, Ivory Coast kwa niaba ya Watanzania

Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akitoa tamko lake kwa niaba ya  nchi ya Tazania Katika Mkutano wa mwaka wa kundi la Benki ya Maendeleo unaofanyika hapa Mjini Abidjan- Ivory cost. Mkutano huo umeanza rasmi tarehe 25 Mei utaendelea hadi tarehe 29Mei 2015.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)