Pages

Skylight band yarejesha ratiba zake

IMG-20150520-WA0074

Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani).

Ashura Kitenge mwenye sauti ya kumtoa nyoka panoni akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 Jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub.

Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kijiwe cha Mzalendo jumamosi iliyopita wa kwanza kushoto ni Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower, Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) pamoja na Ashura Kitenge(kushoto)

Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye ngoma za Nigeria ambao ni Joniko Flower(wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi kwenye kiota cha Mzalendo Pub wanapokinukisha kila siku za Jumamosi.


Waimbaji wa Skylight Band wakicheza moja ya nyimbo zao

Ashura Kitenge akiimba kwa pamoja na Sam Mapenzi mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani)

Sony Masamba(kulia) akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Sam Mapenzia(katikati) pamoja na Joniko Flower (wa kwanza kushoto)

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba kwa hisia huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Ashura Kitenge 

Sony Masamba(kushoto) akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Aneth Kushaba(katikati) pamoja na Sam Mapenzi(Kulia)


Ilikuwa noma sana jumamosi hii maana ilikuwa ni kubeneka mpaka kunakucha

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) pamoja na Ashura Kitenge 

Waimbaji wa bendi ya Skylight Band wakiendelea kusebeneka  ndani ya Mzalendo Pub

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Aneth Kushaba (wa pili kutoka kushoto), Sony Masamba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Ashura Kitenge  wakisebeneka jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub jijini Dar.



Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba akiendelea kuimba huku wapenzi wa bendi hiyo wakiendelea kukata mauno yaani ilikuwa noma sana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)