Pages

Nyusi ahutubia Bunge la Tanzania

 Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongozana na wenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula wakisikiliza hotuba ya Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakati akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakisikiliza hotuba ya Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi.
 Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi wakati akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda akizungumza na wabunge baada ya Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kumaliza kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania mjini Dodoma.
 Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete , Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge la Tanzania Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi.
 Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akiagana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye
 Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye kiwanja cha ndege Dodoma .
 Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula kwenye uwanja wa ndege Dodoma mara baada ya kumaliza ziara yake mkoani Dodoma.
 Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akiwaaga wenyeji wake mara baada ya kumaliza ziara yake mjini Dodoma ambapo alitembelea Makao Makuu ya CCM na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)