Pages

News Flash: Kutoka Mkoani Mtwara Kanda ya Kusini

Taarifa kutoka Mtwara, Kanda ya Kusini Shughuli zote za kijamii hasa maduka, hoteli, usafiri na soko vyote vimefungwa kutokana na kile kinachosemwa wakazi wa Mtwara wanakumbuka Siku serikali ilipowabiga mabomu na kuwacharaza kwenye vurugu za gas kutoenda Dar. 


Lakini hali ya kiusalama mkoani humo inaelezwa kuwa ni usalama na hakuna vurugu zozote huku polisi wakiwa doria na kuhakikisha Usalama unaendelea kuwepo hata kwa wale waliofungua maduka.

Tutaendelea kuwajuza kadri tunavyozipata taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)