Pages

Hawa ndio waliovunja Internet (Break the internet) kwenye Zari All White Party jana jijini Dar

Zari All White party ni sherehe iliyoteka vichwa vya habari katika mitandao ya kijamii na hata magazeti huku sherehe hiyo ikiacha footprint na kuonyesha watu waliovunja internet ndio....Break the internet.

Kabla ya sherehe hii kubwa kufanyika mambo mengi yalitawala kwenye midomo ya wakazi wa jiji la dar na viunga vyake huku kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ndo haikamatiki.

Kama unavyoelewa kuwa popote kwenye wengi hakukosekani Vituko basi nakuletea picha mbili za watu waliovunja internet usiku wa jana wakiwa Na aina flani hivi amazing ya nguo walizotupia basi tazama hapa


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)