David de Gea alisema kwa heri kwa mashabiki wa Manchester United Jumatatu iliyopita wakati akipanda ndege kurejea nyumbani kwao Madrid.
Mlinda mlango anawindwa sana na miamba ya La Liga Real Madrid na imeonekana kana kwamba hiyo ni faida baada ya kupewa muda wa mapumziko kwenye mji mkuu wa Uhispania, nyumbani kwake.
De Gea, ambaye alisaini kuitumikia United akitokea Atletico Madrid mwaka 2011, amepewa mapumziko mafupi hadi Jumatano.
You might also like:
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)