Pages

Waziri wa fedha Mh Saada Mkuya katika mkutano wa Majumuisho na IMF pamoja na Benki ya dunia Washington Marekani

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa  Shirika la fedha la Kimataifa  (IMF) mjini Washington DC.
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akitoa ufafanuzi na majibu kwaswali aliloulizwa na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa  Shirika la fedha la Kimataifa (IMF) mjini Washington DC.
 Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly  (wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa)  akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na  ujumbe kutoka Tanzania( hawapo kwenye picha)mjini Washington DC.
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose wakiagana mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul  Mwafongo ambaye ni Afisa katika ubalozi wa Tanzania na kutoka kushoto ni Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa Fedha za nje Bw. John Cheyo Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi wa Benki ya Dunia. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)